TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Baada ya Kumsikiliza Magufuli sababu za Kumchagua Makonda, sioni Tofauti yoyote kati ya Makonda na Magufuli, au hata Niseme Tofauti ya Magufuli na Idd Amin wa Uganda 1971-78 Iko siku Watanzania Mtajua, Tulipopigania Uhuru Tanzania na Afrika Nzima kwa Ujumla, Haikuwa Kupigania Panadol au Kitanda Hospitalini, au Barabara ya Lami au Kituo cha Umeme. Hivyo Vyote ni Muhimu sana don't Get me wrong! Ila tulipopigania Uhuru Tanzania ilikuwa Ni kwa sababu hizi Alizotaja Mwalimu Nyerere, "Tumeonewa Kiasi cha Kutosha, Tumedhalilishwa Kiasi cha Kutosha, Tumepuuzwa Kiasi cha Kutosha na Tumedharauliwa Kiasi cha Kutosha". Pia alisema Wakati wa Kupokea Uhuru, "Sisi tumekwisha Uwasha Mwenge, Umulike hata nje ya Mipaka yetu, ulete tumaini, Upendo ambapo pana chuki, na Heshima ambapo Pamejaa Dharau"
Magufuli yeye ni Rais wa Panadol na Barabara za Lami, Lakini Fundamental Freedom ya Mwananchi na individuals Anazikanyaga kwa nguvu zote!
Madictator wengi wanasifa za Kufanana.
1) Wanapenda sifa sana, Na Mara nyingi sana Kila walifanyalo ni Katika Kusaka sifa.
2) Ni wenye kauzibe, Wasiojali Kumdalilisha mtu mwingine mbele ya watu ili watimize lengo la kuonekana wao ni wakubwa, au kujipatia sifa.
3) Wanakurupuka saa zote, Hawatulii kupata taarifa za Undani Kabla ya Kufanya maamuzi. Na mara zote Msalaba wa Makosa yao wanambebesha Mwingine.
4) Kwenye himaya yao, eneo la Kazi etc, Sayari zote zinatakiwa Zimzunguke yeye, Kiundani Wengine hawacount (hatasema hivyo)
5) Wengi wa Madictator sio Mafisadi, Utajiri na Fedha kwao sio shida Kubwa, Bali sifa na Kuabudiwa, labda tu wadhani fedha zitazidisha azma hiyo!
6) Wanajikusanyia watu wa aina yao, (Muhongo, Makonda, Nape, Polepole etc) Mtu mwenye mtizamo tofauti, kwao ni adui na tishio.
7) Mwishoni kabisa wanakosa wa Kumwamini.
8) Wanavuka Madaraka waliopewa Wakiingilia madaraka ya walio juu yao. Na wanapenda Kutoa taarifa kwa Mkuu wa wajuu kabisa, wakiwaruka immediate bosses wao. (insubordinators, eg Makonda)
9) Mwisho wao Unakuwa Ni majonzi, kwani muda wote waliishi sayari isiyokuwepo, kifikra, na ibada waliokuwa wakiipata inaondoka kwa uzee, au kwa Kudharauliwa au Kupigwa Vita, And they can't stand that!
Watanzania Watapata Vitanda hospitalini, Watapata Dawa, Barabara za Lami etc, at the cost of our freedom, Na Bila Uhuru Haki na Uhuru, Hivyo Vitu havitadumu, Tazameni mifano ya nchi zilizoharibiwa wa Tabia Kama hizi. Ni nyingi Mno na zilikuwa na Mali Nyingi sana, Na Huduma za jamii nzuri Pasipo Uhuru! As for me let me die as a free man than to feast in chains and shackles!