Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,438 Reaction score 100,717 Nov 16, 2017 #21 Simiyu Yetu said: Wewe akili yako ndiyo imekutima kuwa kushuka kwa bei za umeme ni kuvunja jengo kweli hii nchi inawatu wengine vituko. Click to expand... Mpwa ni wewe kweli kabisaaaa?? Au kuna mtu kaiba nywila yako??
Simiyu Yetu said: Wewe akili yako ndiyo imekutima kuwa kushuka kwa bei za umeme ni kuvunja jengo kweli hii nchi inawatu wengine vituko. Click to expand... Mpwa ni wewe kweli kabisaaaa?? Au kuna mtu kaiba nywila yako??
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,438 Reaction score 100,717 Nov 16, 2017 #22 Kihega said: Hata bibi na mamako wote gongo ndio iliwafikisha walipo,acha majivuno na kujikweza nyambaf. Click to expand... Tujadiliane kwa hoja, msiwataje wazazi. Wazazi wana thamani kubwa Sana aiseee.
Kihega said: Hata bibi na mamako wote gongo ndio iliwafikisha walipo,acha majivuno na kujikweza nyambaf. Click to expand... Tujadiliane kwa hoja, msiwataje wazazi. Wazazi wana thamani kubwa Sana aiseee.
J jojipoji koromije JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 1,127 Reaction score 1,635 Nov 16, 2017 #23 Najiuliza tu: hivi haya maamuzi ya JPM huwa yanajadiliwa kwanza kwenye baraza la mawaziri? Au hua ni mawazo yake binafsi jinsi alivyo amka siku hiyo!!?
Najiuliza tu: hivi haya maamuzi ya JPM huwa yanajadiliwa kwanza kwenye baraza la mawaziri? Au hua ni mawazo yake binafsi jinsi alivyo amka siku hiyo!!?