Kwa vipaumbele gani? kila kitu anakishangaa...... yani yuko serikalini kwa miaka 20 then kila kitu anashangaa.... hospitali hakuna dawa.... no viwanda yani kila kitu anashangaa
Yule mwenye mvi yupo serikalini miaka 30 halafu anasema serikali haijafanya kitu kwa miaka zaidi ya 50 inamaana hata yeye alikuwa anafanya maigizo miaka yote hiyo.
Yule mwenye mvi yupo serikalini miaka 30 halafu anasema serikali haijafanya kitu kwa miaka zaidi ya 50 inamaana hata yeye alikuwa anafanya maigizo miaka yote hiyo.
Tunaposema ccm hakuna ilichofanya tunaangalia Maliasili, madini, bahari, amani, Ardhi kubwa miaka ambayo ccm iko madarakani na vitu tulivyonavyo sasa
Haiwezekani kwa utajiri wa nchi yetu leo mwaka 2015 hata shirika la ndege ambalo ni active hatuna....
Rwanda wamepiga vita mara kibao leo wanandege inaenda mpaka UK
kenya hapo wadogo zetu sio matajiri kama sisi lakini wao mpaka sasa wana ndege 46 tena ni Airbus
kenya wana treni ya mwendo kasi ya umeme
kenya wameshatoka kwenye matumizi ya chaki na ubao darasani
hivyo ni vidogo tu haya jipime na ccm yenu kipi mlichofanya?