Magufuli vs Lowassa

lacuna

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2015
Posts
653
Reaction score
168
Hawa ni wagombea wawili wanaolinganishwa sana katika kila corner ya Tanzania, Magufuli amezidi kushika kasi anaonekana kumzidi mwenzake katika kila sifa ambazo watu wamekuwa wakiziweka, mgombea huyo kupiitia CCM amekuwa akimzidi mpinzani wake katika kuendelea Kuitangaza vipaumbele vyake vya 2015-2020.
 
me nasubiri waanze ku comment maana wana midomo michafu hao mh............ watakuja humu muda si mrefu



CHAGUA MAGUFULI
 

Bilion 150 za mikakati.
 
Kama ni MANENO matamu. Hotuba ndefu Na ahadi zizsizotekeleseka hakuna Kama Jakaya !!??
Tumezichoka !!!
Ukawa 64 % ccm 34%
 

Kwa vipaumbele gani? kila kitu anakishangaa...... yani yuko serikalini kwa miaka 20 then kila kitu anashangaa.... hospitali hakuna dawa.... no viwanda yani kila kitu anashangaa
 
 
Kwa vipaumbele gani? kila kitu anakishangaa...... yani yuko serikalini kwa miaka 20 then kila kitu anashangaa.... hospitali hakuna dawa.... no viwanda yani kila kitu anashangaa

Magufuli hakujiandaa kabisa kuwa rais
 
Tukiwajadiri hawa watu ni lazima tujadiri na mitindo ya maisha yao, familia zao na Mali zao pia zilivyopatikana na zikoje hadi leo na zitakuwa na uhusiano gani na kazi wanayoiomba ..watoto wao wanaishi maisha ya aina gani, wamewezaje kuyaishi maisha ya kitanzania na mengine mengi ..haya ni mambo ya msingi kabisa kabisa
 
....acha magufuli aongoze kwa vigezo, lakini mioyoni mwetu Lowassa ndo anaongoza na hakika tumeamua kumchagua kuwa Rais wetu awamu ya tano....
 
Mimi nafikiri mlete mada ni mada au shabiki wa ccm,maana ccm ni ileile na viongozi wake ni walewale hakuna jipya wanachoweza kufanya,wananchi wa sasa wamechoshwa na maneno,tunataka rais mchapa kazi wakati huu siyo wa maneno zaidi ni vitendo, maneno tumewachia taarabu na bongo flavour za kina diamondi,hapa hatuchagui bingwa wa kuongea,halafu utendaji ni zero,mabadiliko ni muhimu na hana jinsi ni lazima yaje,kwa njia yoyote Ile, kuanzia kifikra,mpaka kiimani
 
Hawa wote wamekaa ccm kipindi kirefu so ukipima mzani sawa uwezi mutengansha ENL na ccm zaid tuwasubili wapiga kura.
 

CCM siyo candidate na Ukiwa siyo candidate ..tunajadiri candidates
 
Hawa wote wamekaa ccm kipindi kirefu so ukipima mzani sawa uwezi mutengansha ENL na ccm zaid tuwasubili wapiga kura.

Watoto wa magufuri wanasoma shule za serikali tena za kata
 
Hawa wote wamekaa ccm kipindi kirefu so ukipima mzani sawa uwezi mutengansha ENL na ccm zaid tuwasubili wapiga kura.

Ndio maana kuna umuhimu wa kuwalinganisha wao kama wao. Kwani Kiongozi wa serekali kwa mfumo wa Tanzania ana percent zaidi ya 90 kwa MUSTAKABALI wa Nchi Yetu. Hebu mtoa Mada shusha hivyo Voigezo tuanze kuwalinganiusha naweka baadhi.
1.Uchapa Kazi
2. Uzalendo
3. Kweza kuvaa viatu vya majority ya Watanzania bila maigizo
4.Kuthubutu- Kutokua muoga wa kufanya jambo kwa manufaa yawatanzania
5. Kuwa Mkweli- Kutoa sera Zinazotekelezeka
6. Uwezo wa kusimamia utekelezaji wa Miradi/ kazi na kufikiamatokeo- Result Based Oriented
7. Kutotoa matumaini ya uongo- Mfano nitafuta kodi zote-Urealistic
8. Ubunifu
9. Uwezo wa kujieleza- Kuleweka na wasomi na wale wasiowasomi
10. Ushiriki wa kitaaluma nje ya mipaka ya Tanzania
11. Kukubalika bila kutumia hata shilingi moja
12. Kukubalika na makundi mbalimbali- Makabila yote, DiniZote, Matajiri na Masikini, Wakubwa, Vijana , Watoto na makundi maalumu
13. Uwezo wa kusimamia sera
14. Uwezo wa kutokomeza Ufisadi
 

Usiwalinganishe kwa namna wanavyotangaza vipaumbele. Kwa sasa angalia idadi ya watu maana mwisho wa siku watashindanishwa kwa kura
 

magufuli tumuhitaji kwakuwa anajua mahitaji ya tanzania ya leo ......hakika hawezi kutuangusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…