Angekuwa Mwakyembe anaambiwa hivyo angemjibu haraka sana kwa nyaraka, sio kuonyesha ukimya namna hii, Mwakwembe ni mpambanaji aangalii uso wa nyani waharibifu yeye ni kuwatoa hata kwa kujitoa mhanga, lakini ni tofauti, JPM huwa ni mpole sana kwa wakuu wake hata kama hawako sahih kama sakata hili, yeye utii kila jambo, ndio maada Willy alipomwambia hauze nyumba zote za serikali hakupinga kauza zote hata JK aliziwa yeye akiwa pale kwake USINO Drive in, ndio maana Marais wa Zamani wote hawako kwenye nyumba za serikali, angalia Mzee Mwinyi, Msasani, Nyerere Msasani hata mawaziri wakuu Kama Warioba na wengineo, hivyo Magufuli hwa na hurika ya Uoga kwa wakuu wake, sasa hivyi haitwi tena Askari wa Mwavuli bali ni askari Kanzu. hata hivyo endelea kusikia kuu wetu amgalau utumalizie tumiladi ulitotuanzaisha hsa barabara ya kwenda kwa Mkwere, ambapo nimeona X nyingi kwenye nguzo mpya za TANESCo sijui na hawa Tanesco hamnazo yaani na wenyewe wanashindwa jua mipaka yao ya hifadhi??? au ndio huolela nao waje walalamike na XXXXX kuwa hawakujua mwisho wa Barabara