Magufuli tells Barrick Gold Corporation . . . Honour your pledge or lose mines

Tutulize mshono kuna vijeba wametumwa humu kutaka kubabaisha watanzania ...sisi tunawaeleza ...ni lazima kieleweke and The message is clear
Jipe moyo kwa kudanganya Watu ukweli hauwezi kufichwa hata huyo unayemtetea kuna siku atanyamaza
 
Wale wa MIGA povu linawatoka naskia mgonjwa huko BP iko juu hahaaaaaa Mwambieni huyu ndio JPM tumeshinda tumeshashinda
Endeleeni kujinasibu ,CCM ndiyo iliyotufikisha hapo na wagonga meza wenu bungeni.
 
Propaganda. This is old news. Magufuli kaongea haya mwaka jana Julai kabla ya negotiations na Barrick.

Hii yote ni kujaribu kujibu hoja za Zitto. Kuongoza nchi kwa propaganda za uongo ni upuuzi.
 
Back
Top Bottom