Waziri Anakunywa siku hizi ? Suala Foleni barabarani sio kweli?
mnaimba kila siku uchumi unakua sana kwa kuweka asilimia kibao,Lakini mmesahau Foleni peke yake unadumaza uchumi wa Nchi yetu kukua.
Mkuu, hivi madereva wakilewa gongo, foleni itaongezeka au kupungua?
Gongo mbaya sana...
Wana JF,
Viongozi aina ya Magufuli ndani ya CCM ndio wanaosifiwa kila kukicha ni wachapakazi.
Ni muda mrefu sasa najiuliza hivi uchapaji kazi wa Makufuli anaudhihirisha kwa mambo yapi hasa???
Tanzania kwa sasa tuna majiji matano (5),Jiji la Dar,Arusha, Mwanza,Tanga na Jiji la Mbeya.
Ni aibu tena yakupindukia kila kukicha Jiji la Dar,Mwanza na Arusha Kuna jums(foleni) barabarani.
Ulipopelekwa Wizara ya Kitoeo juhudi kubwa ilikuwa ni kukamata nyavu Haramu za kuvulia Samaki na ukawakamata watumiaji wa sumu na baruti, kidogo hapo ulijitahidi.
Lakini,Mbona hukuweza kuwadhibiti Wahindi wenye viwanda Wanaobeba Minofu ya Sato na Sangara huku raia wa kawaida hasa wapembezoni mwa Ziwa Victoria wakiambulia Masalia ya samaki yaliyoondolewa minofu, Kwa jina la kutufedhehesha yanaitwa MAPANKI.
Mbona hukuyakomesha Mapanki? Kwanini hukuweza kutoa hata Elimu kwa Wauza Dagaa ili ziingie kwenye soko la ndani na nje ya Nchi zikiwa kwenye Ubora wa hali ya juu???
Je! Utakubaliana nami kuwa wewe ni kiongozi dhaifu?
Sema Ndiyooooo!!! kama Wabunge wetu wa chama tawala wanavyoitika huku mjengoni kwa kila hoja hata kama ni yakupingwa wao jibu sahihi ni Ndioooo!
John P.Magufuli wengi wanakusifia lakini leo mimi niko kinyume na misifa hio,huenda ukanisikia na kunielewa ili ujirekebisha na kutenda kwa Busara na Bidii.
Wamekurudisha Wizara ya Ujenzi kufanya nini? Je! Ni kukariri Km za kutoka Singida Mjini Mpaka Mwankoko na kutoka Mwankoko Mpaka kata ya Mtunduru na kutoka Mtunduru Mpaka Wembere??? Hilo tu ndio Inatosha kweli!
Kukariri Ma kilometa haitoshi Tunataka hayo mnayoyaita MATOKEO MAKUBWA SASA (BRN) Viwe halisi kwa jamii. Msituimbie wimbo wa kucopy na kupesty hapa.Hatutaki!
Magufuli leo nakuuliza ni nini Kinafanya majiji yetu kuwa na Foleni kiasi hicho kila iitwapo leo?
Wakati ongezeko la watu mijini ni la kasi ya ajabu una mkakati gani wa kutuondoa kwenye ongezeko la hasara ya kuchelewa kuzalisha kwa kukaa kwenye Foleni masaa zaidi ya matatu???
Kama huwezi kuwa mbunifu wa kutuachia hata kumbukumbu ya barabara za juu (Flyover) Basi kweli wewe u dhaifu sana.
Ndani ya mwaka moja na miezi michache iliyobaki UTAFANYA NINI NA KUKIKAMILISHA KABLA CCM HAIJAONDOKA MADARAKANI???
Foleni tu isipoisha barabarani hasa kwenye majiji hayo Matatu Dar,Mwanza na Arusha huko ni kuutangazia UMMA WEWE NI DHAIFU NA UMEISHIWA MBINU JUU YA WIZARA YA UJENZI NA MIUNDO MBINU.
UNA BAHATI SANA MIMI NINGEKUWA JAKAYA MRISHO KIKWETE KWENYE ORODHA MPYA YA BARAZA LA MAWAZIRI USINGEONEKANA NG'OOOO!!!
Mh. Unayo Bahati sana tu.
Hilo swali linamfaa padre GONGO

......... Mh. Unayo Bahati sana tu.
Nimeipenda hii sana tu na hasa hiyo ya kukariri makilometa. Wake up Magufuri ushauri mzuri huu.Wana JF,

Suala la kupunguza msongamano mijini linahitaji wadau wengi si magufuli na wizard yake peke tu,halmashauri za majiji pia zinahusika
nafikiri unashau kuwa maendeleoyanatokana na kasi ya maendeleo ya wananchi pia.hivi wavuvi wanapata soko kwakuuza samaki zao kwenye viwanda vya samaki .hilo kwako unaona nikosa la magufuri wakati huohuo unataka awatafutie soko kisha uongeze malalmiko. weweuna uvivu wa kufikiri..Wana JF,