umeiandika kiushabiki sana,imeonesha dhahiri unatumika na Lumumba,ila mwaka huu hamtobozi ni shida,tumechoka sera na viburi vya kulewa madaraka,ccm ni ile ile,hawana jipya,kumsikiliza magufuli ni sawa na kupoteza muda tu,maana wamekuwa wakiahidi na kuongea mambo yale yale ambayo wameshindwa kuyatekeleza,kibaya zaidi watu wale wale mizigo leo wameteuliwa kuwa wakuu wa wilaya,hii ni shame kwa nchi ambayo uchumi umestaginate no growth at all,since 2005 our growth was 7 % ten years later is the same 7% or less,so what is the hurry to appoint new staff while you are not producing enough?leo tuko kwenye giza(mgao wa umeme kwa mwezi sasa)badala ya kufikiria utawasaidiaje watu kuachana na umasikini unaenda kuteua ma-dc?kweli hii ni shame kwa nchi maana vijana wengi wamejiajiri kwenye saluni na ujasiriamalimwingine wanahitaji umeme