Magufuli na wewe utaanguka Jangwani Leo.

Magufuli na wewe utaanguka Jangwani Leo.

MAKATA WAHI

Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
12
Reaction score
1
Historia inaonyesha miaka 10 ya kikwete katika kuomba kura katika uwanja wa Jangwani alishaanguka Mara mbili watu usema ndio Kafara ya chama. Je na Leo mgombea hataanguka pia
 
Tunasema ndio uwanja wetu wa ushindi ndio maana mkausafisha ukawa fresh ili tuone Kafara leo
 
CCM wanakafara nyingi za kutafutia ushindi si ajabu wakaibuka na kafara tofauti na hiyo kutegemea na maagizo ya mganga wao.
 
Back
Top Bottom