Pamputi
JF-Expert Member
- Apr 22, 2016
- 982
- 724
Nikiwa nasoma masomo yangu ya kidato cha tano na sita miaka fulani mkoani Arusha nilibahatikaga kusoma kitabu kimoja kwenye fasihi kilichokuawaga kinaitwa Morani kimeandikwa na Emanuel Mbogo
Basi katika kitabu kile kunaonekana muhusika mmoja mwenye jina linalofahamika kama Dongo huyu ndo Morani haswaa maana majukuku ya morani kwa jamii za kimasai ni ulinzi dhidi ya jamii yake kwa maana ya watu na mali za kabila lake
Basi DONGO akishirikiana na wenzie wanaongoza oparesheni katika nchi yao dhidi ya uhujumu uchumi katika nchi yao ambao at the time watu amabao ni viongozi wa juu wa nchi ile ndio hao haswaa walokua wahujumu uchumi watu kama kina NunguNUNGU na wenzie
Dongo anajitoa anafumba macho na masikio na kujitoa muhanga katika vita dhidi ya uhuumu uchumi amabapo inakua sio kazi rahisi sana kwa upande wake kwani hta miongoni mwa wana kamati wa Dongo kuna watu ambao wanakua ni kama panya buku kung'ata na kupuliza kule
Mpango unapangwa upande wa kwanza wao wanapeleka siri mtaa wa pili mwisho wa siku wahujumu uchumi wanaanza kujiweka sawa kwa vita dhidi ya Dongo kuna watu kama Yusufu na Mlemeta katika kitabu kile
Msako dhidi ya wahujumu unakamilika list yao inawekwa sehemu mahususi n kisha kukabidhiwa kwa Dongo tayari kwa kuwasoma na hatua za kisheria zifuatie dhidi yao but Unfortunately Dongo anapigwa risasi akiwa jukwaani akijiandaa kusoma list ya wahujumu na risasi zile zinakatisha uhai na matarajio yake ya kuijenga jamii mpya......
Stay tune tarudi kuendelea..........