Magufuli na safari za Nje..

Magufuli na safari za Nje..

slimdr

Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
31
Reaction score
4
Wadau naomba kujuzwa kama agizo la magufuli la kukataza safari za nje za watumishi wa umma kama pia linawahusu wabunge.
 
Ndiyo hawaruhusiwi kuzomea zomea wala kutoka nje ya Bunge!
 
Mkuu
Mbona ofisi za Bunge Mhe Rais kazitaja kuwa safari za nje ni nyingi kuliko za kwenda vijijini kuwaona ................................ nawao wamepigwa BAN,katazo inahusu wote Mpaka wamuelewe kuwa.

# SASA KAZI TUU #
 
Back
Top Bottom