Magufuli Na Mbowe ni marafiki

Magufuli Na Mbowe ni marafiki

Majasho

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2009
Posts
413
Reaction score
220
attachment.php

Mbowe akishuka kwenye gari la Magufuli halafu kuna watu wanadhani kuna bifu hapo kwa hao wawili??
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1444465140.442729.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1444465140.442729.jpg
    34.4 KB · Views: 1,758
Siasa si uadui uchaguzi ukiisha wanafanya kazi pamoja kuanzia kwenye kamati pia nakumbuka magufuli alienda jimboni kwa mbowe na wakadhikana mikononi kupongezana na magufuli alisema mbowe ni jembe mchapa kazi ni sawa tu na mdee alivyosema magufuli ni jembe ni kawaida kwenye kazi ila mkumbuke siasa si vita nyie mnaodhani siasa ni uhasama mnapotea. Its time for change team mabadiliko vote for lowasa na ukawa kwa pamoja
 
Hivi mnafikiri Lowassa na Magufuli in maadui? Kwani siasa ni uadui? Msidanganywe na maneno ya jukwaani....nyi mtabaki kutoana ngeu wakati wenzenu wakitoka majukwaani wanapigiana simu na maisha yanaendelea kama kawaida....
 
Cheap propaganda, kawapelekee akina Nape na kibajaj picha hiyo iliyotengenezwa,
 
Hivi mnafikiri Lowassa na Magufuli in maadui? Kwani siasa ni uadui? Msidanganywe na maneno ya jukwaani....nyi mtabaki kutoana ngeu wakati wenzenu wakitoka majukwaani wanapigiana simu na maisha yanaendelea kama kawaida....

nimeipenda sana hii dada nyamchele, ni kweli kabisa unalosema, nadhani utakuwa unatokea mara wewe ,manake na wao kwa majina kama yako, nyambofu, nyasato, sasa leo naona na nyamchele
 
nimeipenda sana hii dada nyamchele, ni kweli kabisa unalosema, nadhani utakuwa unatokea mara wewe ,manake na wao kwa majina kama yako, nyambofu, nyasato, sasa leo naona na nyamchele

Nyamboga nyamweko nyamumwi.... akajasembamba inanikumbusha hadithi za Debora Mwenda...
 
Last edited by a moderator:
Kwaani hapo unapoishi wewe huna marafiki wanao toka chama tofauti na wewe na ni marafiki zao?acheni hayo siasa sio wote lemgo letu ni kutaka nchi yetu itoke hapa tulipo na wala sio kulipizana visasi
 
Siasa sio uadui...nyie zibuaneni mtaani magufuli na lowassa baada ya kutukanana jukwaani wanapigiana simu na kuchekana!!
 
vilaza humu wanashinda wanatukana,hawalali,presha juu,,,,,majamaa huko juu yanajuana vizuri sana mnoo,,,,
 
Back
Top Bottom