magufuliforpresident
Senior Member
- Aug 18, 2015
- 159
- 59
Tuna imani naye
Hiko alichokiahid kwann hakufanyika utawala wa kikwete? Mkapa, na mwinyi? Huo ni uongo mchana kweupe UKAWA ndio ukombozi wa Wtz, ccm tumewazoea zaid ya miaka 50 sera hizo hizo na hazijawahi kutekelezeka.
Ukimpeleka malaika kwenye kundi la mashetani naye atakua shetani tu(Mh Mbowe).Magufuli hawezi kufanya kitu ndani ya CCM.Wewe ndio utakuwa kundi la aliowasema Mkapa, yaan mwizi na fisadi Lowassa ndio akukomboe?ndoto za mchana.Lowassa anaenda akiwa na maslahi yake na mafisadi wenzake ambao wameishatumia pesa nyingi sana kuutafuta urais huo,akifika huko ni kujilipa tu kama alivyojilipa Richmond.
ukawa vita ishaanza mko wp?anzeni kumjibu mkapa,makongoro anaenyoshea afya za watu kidole mwachieni Mungu kwani magufuli kasema wamshirikishe Mungu kila kitu.