Magufuli Mapumzikoni Chato

Magufuli Mapumzikoni Chato

alvinroley

Member
Joined
Sep 30, 2016
Posts
71
Reaction score
251
Baada ya pilikapilika za kuwahudumia watanzania hatimaye Rais Dr John Magufuli yupo mapumzikoni huko Chato 'anakula upepo' kidogo.
IMG_20170712_172527_158.JPG
IMG_20170712_172053_202.JPG
 
mleta taarifa, huyu ni Mtoto au mjukuu wake?
 
IMG_20170712_172053_202.JPG


Kubwebwa na Rais wa nchi ni mojawapo ya Heshima kubwa sana hata kama Rais huyo ni ndugu yako!
 
Nampenda sana rais wangu, kila siku huwa namuombea kwa Mungu ampe maisha marefu

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Kuna mtu ameenda nje mara nyingi kuliko hata kijijini kwao.

Sasa naona yeye anatuonesha! "kijijini kulivyo kwa muhimu"


Sijui ni tripu ya ngapi hii huko "chattle" yaani hapo "Chattle International Airport" bado haijaisha, je ikiisha si ndio ataenda kila siku? {kwenda na kurudi}
 
Muda wa likizo tayari? Namtakia mapumziko mema.

Sent from Iphone price 5Mil using JF nchi za nje.
 
Back
Top Bottom