Magufuli malizana na CHADEMA..

Magufuli malizana na CHADEMA..

Mr Scofied

New Member
Joined
Aug 21, 2016
Posts
3
Reaction score
0
Habari wana JF wenzangu,kiukweli raisi magufuli inatakiwa aliamkie jambo hili kabla ajachelewa ishu ni ndogo sana kumalizana na vyama vya upinzani na tofauti zao kabla damu za watu hazijamwagika pasipo kuwa na msingi....
Sisi wote ni watanzania tuweke uvyama pembeni kwa maana hakuna anaependa kuona damu ikimwagika kisa vyama cha muhimu ni amani hivyo tunapaswa kuungana CHADEMA,CCM,CUF,NCCR, n.k ili kuilinda amani ya nchi yetu kwani sote ni watanzania tuache uchochezi...
 
Mwambie Mbowe na Lema kwanza.
 
Mbowe anataka Picha za watu waliopigwa akaombee pesa ulaya.
 
Hapa ni kumuombea busara kwa mungu.. MAGU hebu zungumza na wapinzani wako
 
Back
Top Bottom