singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Jembe tunakuamini majipu hayawezi kukushinda ndio maana tumekuchagua wewe hatukuutaka mtandao ulisababisha majipu. HAPA KAZI TU
Unajua maana ya majipu!Mbona zanzibar na mameya ameshindwa, ajiuzulu tu maana hakuna namna
Kama lile lililokutoka kwenye takoUnajua maana ya majipu!
Mbona zanzibar na mameya ameshindwa, ajiuzulu tu maana hakuna namna