Magufuli+majaliwa=kazi

Magufuli+majaliwa=kazi

kipoke KIPOKE

Member
Joined
Apr 20, 2015
Posts
54
Reaction score
9
Kwanza nianze kwa kuwapongeza nyie wateule wa Mungu kwa Tanzania tulionayo nyie ndio mliokua mnatakiwa na mmepatikana tuibulieni Tanzania yetu,MMEFANYA VIZURI SANA sasa angalieni majipu mmeyatumbua mbona hamyakamui?TRA Limetumbuka lakini halijakamuliwa bado kuna chain kubwa sana hapa kuna wale wanaokamata hayo yasiolipiwa wanalipwa nje (rushwa)wanajua mpaka hiyo mizigo inayokamatwa inauzwa wapi, na huwa inaongozana na defender hebu fuatilieni kisha mkamue baada ya kutumbua
bandarini wahusika wamefahamika mmetumbua sasa kamuA JPM
 
Back
Top Bottom