KWANINI CCM INA MKAKATI WA KUJENGA UCHUMI WA VIWANDA 2015-2020
Azwamu ya nne chini ya Mh. Prof. Kikwete imeweka mazingira rafiki na mazuri kwa kuanzishwa na kujengwa kwa viwanda hapa nchini.
Kujengwa na kuimarishwa kwa barabara za lami zinazounganisha mikoa na nchi za mipakani
Kujengwa na kuimarishwa kwa viwanja vya Ndege katika maeneo ya Mwanza, Kilimanjaro, Kigoma, Mbeya, Mtwara,.Tabora, Dodoma na Zanzibar.
Kukamilika wa bomba la gesi toka Mtwara kuja Dar kunatoa uhakika wa uwepo wa nishati ya uhakika na kwa gharama nafuu zaidi.
Kuimarishwa kwa bandari za Dsm, Zanzibar, Tanga na Mtwara
Kuanza kwa ujenzi wa reli mpya yenye ubora wa kimataifa yaani standard gauge toka Dar, Tanga,Arusha, Kigali na Uganda
Kuanza kwa ujenzi wa reli mpya ya kusini
Uchumi wa viwanda unataka nishati ya uhakika na nafuu, miundombinu bora, malighafi na utulivu wa kutosha. Kwa sasa vyote tunavyo.
Zaidi ni kupata kiongozi atakayesimamia na kuimarisha maendeleo kwa kasi zaidi.
TANZANIA KWA SASA TUNAHITAJI KIONGOZI MWADILIFU,ASIYE NA MAKUU,MWENYE KUTAKA MAENDELEO KWA KASI ZAIDI NA ANAEJUA SHIDA ZA WANAINCHI WAKE:
JOHN POMBE MAGUFULI kwa sasa anazo sifa zote stahiki za kuwa kiongozi wa Tanzania.
HAPA NI KAZI TU.