Magufuli kesho kuwasili Bariadi mkoani Simiyu

T 1990 ELY

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2014
Posts
12,936
Reaction score
30,099
Mambo vipi wapiga kura wenzangu.Huku kwetu kesho ni fiesta ya bure aisee.Magufuli anakuja kunadi sera zake huku akiwa amesindikizwa na wasanii Wa bongo fleva.Namuona hapa fid Q,Young D,Mr Blue,Shilole,Lina,kikundi cha original comedy(Masanja mkandamizaji)na wengine wengi tu.KURA ZOTE UKAWA TU MAAMA HAMNA NAMNA.
 
Asante kamanda T 1990 ELY, shoo hudhuria kura ukawa. Wakileta na mpunga pokea, kura ukawa. Mpaka wakome adabu yao.
 
Last edited by a moderator:

Umeona Eeeee Mkuuu Zogwale,mie kesho nahudhuria mkutano wao ila langu rohoni.CHAGUA UKAWA.
 
Last edited by a moderator:
Mambo vipi wapiga kura wenzangu.Huku kwetu kesho ni fiesta ya bure aisee.Magufuli anakuja kunadi sera zake huku akiwa amesindikizwa na wasanii Wa bongo fleva.Namuona hapa fid Q,Young D,Mr Blue,Shilole,Lina,kikundi cha original comedy(Masanja mkandamizaji)na wengine wengi tu.KURA ZOTE UKAWA TU MAAMA HAMNA NAMNA.

Waambieni ccm huko jamani,tupo kama 30 hapa Mafinga,watume helicopter ili tuiwahi hiyo show.
 
Nimeona mafuso mitaa ya huku

Mitaa ipi hiyo mkuu Leonard Robert,,Hapa namuona shilole na nuhu mziwanda wapi kwenye malavidavi sana tu.Fid Q,Young D,Mr Blue,Lina na wengine wengi tu hapa log mark hotel.
 
Nyie simnae Kingwendu? hahaaa....mwaka huu mwisho wenu.
 
Udhuria show ya bure then kura Ukawa

Jamani kuna kikao kilikaa jana usiku kuanzia saa tatu usiku pale Hyatt Hotel chini ya January Makamba, Mdogo wake January anaitwa Thuwein Makamba, Wema Sepetu, Abdulhaman Kinana na Sadik Mbarouk..
Kikao kilikua na mkakati wa kuanza kununua wasanii wanao mpa support Mh. Edward Lowassa ili waonekane wamechoka na mienendo ya Ukawa na zaidi kumchafua mgombea wake Mh. edward Lowassa.
Kampeni hiyo iliyobeba dhana ya Kung'atuka itakuwa ina dhaminiwa na tajiri maarufu anae jishughulisha na vyombo vya usafirishaji, Bwana Sadik Mbarouk aliyemwaga pesa za kutosha za kuwavuta wasaniii hao.
Mpaka jana usiku walifikia mpango wa kuwang'oa wasanii wawili, akiwemo Aunt Ezekiel na Ray Kigosi kwa dau la Million 50 kila moja. Kazi hiyo imeanza kutekelezwa leo asubuhi majira ya saa tatu na nusu, ambapo Gari aina ya Landcruiser V8 yenye namba za usajili T257CET iliyofika Nyumbani Hoteli mtaa wa posta na kuwachukua kuwapeleka uwanja wa ndege na kupanda ndege iliyo andaliwa maalum kwa ajili ya kuwashusha Dar es Salaam kwa ajili ya kusaini mkataba na kuchukua fungu lao.
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni.. Wazungu wanasema "Every one has a price", yaani kila mtu ana bei yake, Bei ya Aunt Ezekiel na Ray Kigosi ni Millioni 50 na haaaaoooo safari imeanza ya kuvunja matumaini ya watanzania waliwo waamini.. Mwaka huu tutayaona Mengi
 
Dah kazi kweli kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom