Mmefanya maamuzi na nanI? Maana huku kwetu ni Lowasa tu.Tumeshafanya maamuzi.
Hapa kazi tu.
Mmeyafanya na nani? Sisi tunafahamu Rais ni LOWASSA tu! Vinginevyo uchaguzi huu utakuwa batili.Tumeshafanya maamuzi.
Hapa kazi tu.
Mmeyafanya na nani? Sisi tunafahamu Rais ni LOWASSA tu! Vinginevyo uchaguzi huu utakuwa batili.
Mmefanya maamuzi na nanI? Maana huku kwetu ni Lowasa tu.
Lowassa anasifiwa kwa kutowajibu wanaomtuhumu kwa ufisadi, lakini mimi naona Magufuli ndo anastahili sifa zaidi. Kwa sababu zifuatazo;
1. Lowassa ana kashfa moja ya ufisadi, ambayo ni Richmond, licha ya kukaa kimya kwa muda mrefu, amesema huo ulikua ni mradi wa Kikwete.
2. Magufuli ana kashfa kadhaa za ufisadi,
A. Kuuza nyumba za serikali kwa hawala yake na mdogo wake
B. Kupiga hela kwenye ununuaji wa boat mbovu ya kwenda Bagamoyo
C. Kupiga fedha kwenye mradi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi
D. Upotevu wa Mabilioni yasiyo wizarani kwake.
Lakini Magufuli hajawahinkujibu hata moja, hii inaonyesha kwamba ana busara zaidi kuliko Lowassa.
Sasa mbona huyu dada anaonekana anabusu bango la Magufuli? Ndo nini hii?
Nakuhurumia sana MUSSA ALLAN. Sijui baada ya keshokutwa utaelekea wapi? Je utamfuata Lowasa Monduli kuchunga ng'ombe?Mmeyafanya na nani? Sisi tunafahamu Rais ni LOWASSA tu! Vinginevyo uchaguzi huu utakuwa batili.
Umevurugwa wewe. Viongozi wako wameshindwa kumnyooshea kidole Magufuli. Hoja zako hazina mashiko
Lowassa ni kama UHURU KENYATA
Umevurugwa wewe. Viongozi wako wameshindwa kumnyooshea kidole Magufuli. Hoja zako hazina mashiko
Sasa mbona huyu dada anaonekana anabusu bango la Magufuli? Ndo nini hii?