Magufuli kama Obama

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
Huyu ni Vladimir Putin akipiga push ups


Huyu ni Barack Obama akipiga push ups


Huyu ni John Magufuli akipiga push ups


Huyu ni Edward Lowassa akisaidiwa kupanda ngazi za jukwaa


Picha hizi ni ushaidi tosha kuwa Lowassa ni dhaifu na hana sifa za Urais ambaye ni Amiri Jeshi Mkuu.
 
Huyo wa mwisho ndio RAIS wako wa awamu ijayo na huyo wa pili kutoka mwisho ndio atakua BODYGUARD wa RAIS wako so ni vema UKAWA na adabu hahaha
VIVA UKAWA!!!
 
Gaddafi Rais wa Kuwait.


Swissme

teh teh mkuu umesahau na kiwanda cha TANALEK Arusha kilihusika kutengeneza mikanda na viatu vya ngozi teh teh teh huyu jamaa hafai ata kuwa bodyguard
VIVA UKAWA!!
 
Magufuli kwa kweli anastaili,jembe hilii
 
Ovyooo sana wenzie hawakupiga pushap kwenye campein ila popoma huyu katia aibu sana
 
Huyo wa mwisho ndio RAIS wako wa awamu ijayo na huyo wa pili kutoka mwisho ndio atakua BODYGUARD wa RAIS wako so ni vema UKAWA na adabu hahaha
VIVA UKAWA!!!
[h=3]UKAWA SASA WAKIMBILIA KWA WAGANGA WA KIENYEJI BAADA YA HALI KUWA TETE[/h]


 
Huyo wa mwisho ndio RAIS wako wa awamu ijayo na huyo wa pili kutoka mwisho ndio atakua BODYGUARD wa RAIS wako so ni vema UKAWA na adabu hahaha
VIVA UKAWA!!!

Jibu zuri kabisaaaaa!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…