Magufuli kaamua kumpandisha Kikwete Ndege?

ubongokid

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
2,033
3,916
Naona Clipu inasamba mitadaoni ya JK na JPM wakielekea Afrika kusini kwa kutumia ndege ya ATCL

Hili limenifanya nijiulize, Je, Magufuli kaamua kumpandisha Kikwete ndege Mpya? Je Magufuli amelipia hio safari maana hio ni ndege ya biashara lazima ilipiwe au ndo ameanza kupanda bure bure?

Je hio safari lipangwa kutumia ndege hio au ameamua tu kuwaambia ATCL leteni ndege moja nataka nimpandishe Mkwere tukazunguke!! Anifundishe ya ngambo

Natafakari tu maaa huwa sielewei kama tuapiga Reverse au tuko Drive
 
Kikwete ni mzee wa anga ana kilometers za kutosha angani, so title yake ingetakiwa isomeke "Kikwete kaamua kumpandisha Magufuli ndege" hii ingemake sense 🤣🤣
Sio sawa, Jk amekaribishwa na jpm kuambatana south, ni kama ambavyo jpm angehamua kumkaribisha mtu yeyote yule, nakumbuka wakat wa jk mawazir walikuwa wanapokezana katka ziara za nchi za nje.
 
JK bado anasafiri kila siku.nyie endeleeni kubana matumizi kwa kuficha 3.+bn. na biashara ya kununua watu.
 
JK alikua huko juzi akiwaongoza waangalizi wa uchaguzi kutoka AU leo badala ya kupumzika wanamsumbua tena.

Membe's fever inaweza kumletea shida mzee wetu, angetulia asihangaike na Membe.
 
Back
Top Bottom