Habari ya Mujini
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 2,518
- 1,045
Hizo ni kodi zetu wala sishangai. Kwanza wanapewa Kila kitu na serikali. Mishahara yao inakaa benki tu wala haifanyi kaziRais John Pombe Magufuli amekubali kukatwa kiasi cha shilingi milioni sita kutoka katika mshahara wake ili zielekezwe kwenye ujenzi wa madarasa ya shule mpya hapa jijini Dar es Salaam. Pia Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa watakatwa Sh milioni sita kila mmoja ambazo zitapelekwa katika jukumu hilo.
Wakati huo huo Mawaziri wote wa serikali ya awamu ya tano watakatwa kiasi cha shilingi milioni moja kila mmoja kutoka kwenye mishahara yao ili kufanikisha hili.
Magufuli siyo mtu wa maneno matupu mkuu..!!Nani ana uhakika kwmb hela yake kweli itakatwa!? Tusije kujikuta tunampongeza kumbe ni maigizo as usual. Km atafanya kweli ni jambo zuri!!
Hayo sasa itakua ni nongwa tu sasa wewe inakuhusu nini usipende kupekua pekua mambo kaisha sema watakatwa moja kwa moja kwani ww unafikir rais na mawazir wanajilipa wao mishahara auNani ana uhakika kwmb hela yake kweli itakatwa!? Tusije kujikuta tunampongeza kumbe ni maigizo as usual. Km atafanya kweli ni jambo zuri!!
Kutoa ni moyo mkuu wewe umechangia kiasi gani shughuli za maendeleo?Hizo ni kodi zetu wala sishangai. Kwanza wanapewa Kila kitu na serikali. Mishahara yao inakaa benki tu wala haifanyi kazi
Wewe ni waziri mkuu?chonde chonde wasifike kwenye mshahara wangu...kutoa ni moyo...mimi huo moyo sijawanao kwa sasa!
Hehehee kutoa siyo lazima uwe unalipwa mshara mkubwa..!wengine vimshahara vimini wasitueke uko
chonde chonde wasifike kwenye mshahara wangu...kutoa ni moyo...mimi huo moyo sijawanao kwa sasa!
kodi nayokatwa walipwe wao na wajenge nchi inatoshaHehehee kutoa siyo lazima uwe unalipwa mshara mkubwa..!
Rais John Pombe Magufuli amekubali kukatwa kiasi cha shilingi milioni sita kutoka katika mshahara wake ili zielekezwe kwenye ujenzi wa madarasa ya shule mpya hapa jijini Dar es Salaam. Pia Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa watakatwa Sh milioni sita kila mmoja ambazo zitapelekwa katika jukumu hilo.
Wakati huo huo Mawaziri wote wa serikali ya awamu ya tano watakatwa kiasi cha shilingi milioni moja kila mmoja kutoka kwenye mishahara yao ili kufanikisha hili.
Hiyo ni shida kubwa kwa kiongozi hadi kufanya maamuzi juu ya kipato chako. Hii inaonesha aliwapa Uwaziri kama fadhira au Asante. Yaani hawakustahili. Hope Muhongo hataniangusha. Imagine mshahara wako mkurugenzi anaamuru ukatwe kwa ajili ya mchango wa taasisi iliyo karibu na kampuni yenuHizo ni kodi zetu wala sishangai. Kwanza wanapewa Kila kitu na serikali. Mishahara yao inakaa benki tu wala haifanyi kazi
Wew icho kidogo unachopata umechangia shughuli gan ya marndeleo?ana lala bure,kula bure,anasomeshewa million 6 kwenye million 55 kwa mwezi sawa na tone la maji ktk bahari.
pia nani atahakiki kuwa atakuwa anakatwa