Anatamani sana ila mwili unakuwa mzitooooo...Madhara ya mfumo wao dume katika chama na serikali unaosisitiza kulindanaaa..
Katika kundi lake wamo pia Prof Mwandosya, Sumaye, Dk Kigoda, Dk Salimu (kwa kuhimizwaa zaidi sio nafsi yake kwa sasa), Sita, nk..Wanajitambua wanamzidi sana aliyeko kwa nyanja mbali mbali ila uthubutu wa kupambana naye kidemokrasia kwa sasa hawana.