Magufuli : Chuo Cha Kampala Ni Cha hovyo!

Kama chuo nichahovyo, hata wizara ya elimu niyahovyo pia.
 
Nadhani concern hii inawahus moja kwa moja TCU au wizara ya elimu ambao wana wajibika moja kwa moja na haya mambo.
Kwann malalamiko haya yasielekezwe kwa hawa watu ambao wana njia za kupokea maoni badala ya kuzielekeza moja kwa moja kwa rais?
USHAURI
Taasis za usalama mfano tiss nadhan haya mambo mnapaswa kuyajua in advance na kuya report yafanyiwe maamuzi.
Tunajua mna kazi nying hasa kwa kipindi hiki lakin we used to have spies in all areas accros government and non governmnt instututions kipind cha nyuma.
Tafadhal shughulikien suala hili
 
Hili ni pigo kwa graduates wa hapo, sidhani kama watapata ajira kwa kauli aliyoitoa
 
Sio tu kwa chuo
Hata kwenye ajira wanafunzi watapata shida sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ndio maana iko Ug si yeye basi juu amejam afungue yake Tz ni ifunze zaidi kuliko ya Ug ,kuliko ku criticize kitu si u come up na university yake ndo aongelee vibaya ya wenyewe,Nyani haoni kundule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…