Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,324
- 6,657
Huyu mzee,anakaba hadi penaltiMheshimiwa Magufuli anasema " chuo Cha Kampala gongo la mboto Ni Cha hovyo,Kuna wanafunzi wamemaliza masters pale,saizi wameanza upya kusoma degree ya Kwanza maana walichokipata pale Ni useless..". Hii ni kauli mbaya sana kwa wanafunzi na uongozi wa Kampala University,sio muda hiki chuo kanjanja kitafungiwa rasmi
Yupo Kila angleHuyu mzee,anakaba hadi penalti
HahahaaMzee ananyoosha adi vyuma vya reli
Huu si umbeaKwaiyo wewe umeleta huu umbea kama nani?
YapWamemaliza master wame anza kusoma upya degree [emoji22][emoji22][emoji22]
Vipi tenaKhaaa
Watanyoka tuWacha awanyooshe tu
SureAkimalizana nao kampala,aende na kule privates schools.
Sent from my SM-E500H using JamiiForums mobile app
Mkuu mimi nina jamaa yangu anasoma pale pharmacy ananiambiaga vitu vingine vinazungumza nje lakini haviko hivyoila kampala kwa muonekano kipo vizuri sana from majengo, usafi, mpangilion wa vitu.. nyumba za walimu wao nzuri... kwa muonekano wa nje kinaonesha ni sehemu ya uongozi unaojielewa.. ila sijui elimu yao kwa kweli...
kuna vyuo kama cbe, ifm, tia, dit.. muonekano tu haupo kisomi.. yaani vuru vuru... ila kampala ukiinia campus yao japo ni ndogo ila inavutia.. imekaa kichuo chuo