Magufuli awatia kiwewe CCM

Mnapenda kudakia mambo yasio wahusu .msio yajua mkidhani ndio siasa lakini zaidi kujaza chuki na uzushi .!!kweli mtaendelea kushindwa kwani Haya yote yanasinamiwa na shetani
 
Ulizoea futari za ikulu safari hii mtazitafunia msoga
 
binafsi naumga mkono raisi magufuli kutopewa uenyekiti wa chama.

tuangalie jambo hili kwa mslahi ya taifa. raisi aachwe afanye kazi ya kujenga upya taifa. sivyema kumpa vyeo vinavyoweza kumfanya asipate mda wa kutosha kutafakari mtatatizo yetu na suluhisho. lakini pia s vyema kumpa mambo yatakayoleta "conflict of interest" kwenye utendaji wake.


 
Kwa kiwango na kiasi ambacho JK ameumbuka kwa kulea maovu ya kila aina; hana tena moral authority ya kuendelea kuwa mwenyekiti wa chama, kuendelea kung'ang'ania ni kielelezo tosha kwamba anataka kushirikiana na wahafidhina na waovu wengine kusambaratisha kasi ya "kutumbua majibu", aondoke ni mchafu sana.


 
Kinana, Nape, Makamba na wengine wengi kimyaaaaaaaa. Mzee wa kuharibu katiba yetu ndiyo kabisa kaamua kuachana na siasa baada ya kuona moto wa Magufuli hauwezi.
 
Yetu macho tuone kama mwenyewe kiti atamuachia brother magu hicho kiti mapema hili atumbue mijipu na huko kuna mijitu ina mijipu kila sehemu watakoma mwaka huu ccm mbele kwa mbele hapa kazi tu!
 
Tena wale wa ukawa ndiyo wameliwa vibaya sana.

Mpaka muda huu sijasikia ukawa wametumbiliwa majipu! Ila huko fisiem ni balaa tupu! Mkuu usijali, na wewe utafikiwa, na lilivokaa pabaya sijui utakimbilia wapi!?
 
watu wametoa hela zao bure mabilioni ili ufanye kampeni Leo unajidai hawakukusaidia kwani fedha walizoipa ccm zilikuwa zako? u

Kweli mkuu. Hakuna mwanaisasa anayeweza kusimama na kusema kinagaubaga kua kampeni yake aliifanya kwa nguvu zake mwenyewe, hata kidogo. Lazima atakua muongo na MUNGU ATAMTEGA TU siku moja kwa uongo wake.
 
Nisingependa JPM awe mwenyekiti wa hicho chama kabisa. Hapo alipo ppanamtosha sana tu.
 
Mungu yupi huyo anayetega watu!! Ya Leo Kali!!

Kama ulikula hela za wafanyabiashara wewe nenda katubu. Magu alichosema ni ya KAISARI mpe KAISARI. Waambie hao wafanyabiashara wakalipe kodi. Tumechoka na haya maelezo ya kutetea wafanyabiashara kuwa walitoa misaada ili tuwaache ndg zetu wafe kwa umasikini.

Haya ndiyo majipu yanayoleta umasikini TZ. Huyo Mungu akutege mwenyewe (BACK TO SENDER)

Queen Esther

Kweli mkuu. Hakuna mwanaisasa anayeweza kusimama na kusema kinagaubaga kua kampeni yake aliifanya kwa nguvu zake mwenyewe, hata kidogo. Lazima atakua muongo na MUNGU ATAMTEGA TU siku moja kwa uongo wake.
 

I think you got me wrong Queen, ile kauli siyo kabisa aliyotamkaJPM, Wala skuwatetea eti ili wasilipe kodi etc, ila hawezi kusema alifanya yooote kwa uwezo wake mwenyewe bana, Hapo nakataaa kabisa.
 
watu wametoa hela zao bure mabilioni ili ufanye kampeni Leo unajidai hawakukusaidia kwani fedha walizoipa ccm zilikuwa zako? u

wewe naona ni jipu kalipie makontena toka Mheshimiwa Rais Magufuli na Mheshimiwa Waziri mkuu Kassim Majaliwa waanze kupasua majipu umegeuka upinzani na wapinzani wamegeuka CCM ....mtaisoma namba...Mheshimiwa Magufuli alishawaambia hana ubia na mfanyabiashara na hakupokea ata shilingi kama mliipa ccm ela nendeni kwa katibu mkuu Kinana mkamdai muacheni Mheshimiwa Rais Atumbue Majipu
 
watu wametoa hela zao bure mabilioni ili ufanye kampeni Leo unajidai hawakukusaidia kwani fedha walizoipa ccm zilikuwa zako? u

Imekula kwao mazima, kwani walipotoa walipewa risiti ya TRA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…