Kitoto Akisa
Member
- Apr 23, 2009
- 53
- 5
Jamani WaTZ,
Kama ni umiliki wa biashara vigogo zaidi ya 80% wamo, lakini kwenye utendaji sidhani kama kuna anaemfikia Magufuli. GIVE THE DEVIL HIS DUE, anapofanya vizuri mtu apewe sifa zake.
Wana JF naona ndugu yetu, mtanzania mwenzetu Dilunga tusimchose sana kurudia rudia phrase za "guest house Biharamulo" inawezekana amekopi kwa hiyo kila post ikija ye ni kupaste tu maneno hayo hayo, labda siku nyingine atakuja na hoja za Mhe. JPM kumiliki salon. Wengi wetu tunamuona JPM ni hardworking kwa uwazi kabisa na wala hatuumi maneno.Sawa. Basi kama na yeye ni kama hao 80% wengine basi hana distinction. Kusema hayuko peke yake ni kisingizio cha zamani, mtoto anakanywa na mzazi anadai hata mtoto wa jirani kafanya hivyo. Well, wa jirani hatuhusu. Magufuli ndio anawekwa kiti cha enzi, ukisema si peke yake unamaanisha na yeye ni wale wale.
Waziri, Mbunge, makazi kibao, unazunguka BRELA na TRA kusajili ki guest house chako Biharamulo, cha nini?
Wanamtandao/ mafisadi wanambania huyo mchapakazi wa ukweli...
Waziri mwenye muda wa kuzunguka BRELA na TRA kusajili mradi wake wa guest house hawezi kuwa ``by far most hardworking minister. `` Mtu mchapa kazi muadilifu mwenye majukumu mazito angesubiri amalize uwaziri ndio aanze ku run guest house.
Magufuli ni waziri, ni mbunge, ana mishahara kibao, I'm sure hakosi kwenye one of them sekretarieti za kamati kuu, anakula maposho ya mikutano kushoto na kulia.
Na bado una run ki guest house Biharamulo, cha nini? Huyo ndio ``the most hardworking``?
Waziri mwenye muda wa kuzunguka BRELA na TRA kusajili mradi wake wa guest house hawezi kuwa ``by far most hardworking minister. `` Mtu mchapa kazi muadilifu mwenye majukumu mazito angesubiri amalize uwaziri ndio aanze ku run guest house.
Magufuli ni waziri, ni mbunge, ana mishahara kibao, anakula maposho ya mikutano kushoto na kulia.
I'm sure hakosi kwenye one of them sekretarieti za kamati kuu, anakula maposho ya mikutano kushoto na kulia.