Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,467
- 7,258
Sasa kama BRELA iko chini ya Viwanda na Biashara, waziri wa Uvuvi alienda kukagua BRELA kwa msingi gani?
Hivi hapa wamesema alienda kukaguaa??
BRELA ni ofisi ya umma na ni hifadhi kuu ya taarifa za makampuni so ni sehemu ambayo watu binafsi na watu wa serikalini huenda kufanya due diligence (ukaguzi) wa makampuni kabla hawajaangia mikataba au kufahamu habari zozote za makampuni. So Maghufuli hakwenda kukagua huko. Ni haramu kiongozi wa serikali kwenda sehemu na kukuta uozo na kufumbia macho eti kwa kisingizio kuwa ahusiki. Ndio maana mfuko wa Bima ya afya NHIF umeamua kuwaingiza madiwani ili waweze nao kujionea namna gani wateja wanahudumiwa na kero wanazozipata! Tuwa-encourage viongozi kujenga utamaduni wa kwenda kupata huduma wenyewe sehemu mbali mbali badala ya wao kubaki maofisini na kutuma madereva!!Sasa kama BRELA iko chini ya Viwanda na Biashara, waziri wa Uvuvi alienda kukagua BRELA kwa msingi gani?
Be careful of what you ask for!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! si unafahamu ile story ya genie aliyetoka kwenye chupa?JK angempa Naibu Waziri Mkuu/waziri wa kitoeo.....ili awe mbogo kwa kila mzembe.....serikalini.
Alikuwa "anahoji" na akapewa "visingizio." Sasa kama alienda kwa biashara binafsi, kwa nini ahoji na kukagua!
Yaani mkuu wangu unataka viongozi wakienda mahali wakikuta hali ni hovyo wasiseme kitu? kwa sababu tu siyo wa wizara husika!!??
Yaani mkuu wangu unataka viongozi wakienda mahali wakikuta hali ni hovyo wasiseme kitu? kwa sababu tu siyo wa wizara husika!!??
Ukikumbuka mgawanyo wa kazi usisahau na COLLECTIVE RESPONSIBILITY after all hakwenda kule basically kukagua watunza mafaili. Tatizo siku hizi kumezuka watu ambao kila zuri hulitafutia kasoro. Sijui wanaogopa vivuli vyao au ndio kampeni za 2015. Na hii ni laana/mbinu ya wanamtandao!! Wao mafanikio kwao ni kuchafua watu wanaodhani wana nguvu zaidi yao. Na hii mbinu ndio imebaki ngao yao toka 2005 hadi leo hawajui kuwa watanzania si mabwege tena (times have changed gentlemen).Kuna kitu kinaitwa mgawanyo wa majukumu. Magufuli has a lot on his own plate. Samaki wanapigwa mabomu na wavuvi, wanaisha, mifugo the country is starving kwa kukosa vitoweo, kuna vita vya mifugo Tarime huko vinaendelea. Aende aka focus huko kutafuta solution, sio kwenda kuhoji watu BRELA.
Waziri wa Uvuvi utaendaje kukagua wahifadhi mafaili BRELA?
Magufuli for presidency 2010
Kwa kifupi achilia mbali hili la BRELA, Maghufuli is by far (very far) the most hardworking minister in Mkapa's and Kikwete's cabinets put together. No one comes closer!!
I..huyu jamaa ana guest house yake huko Biharamulo...
Kuna kitu kinaitwa mgawanyo wa majukumu. Magufuli has a lot on his own plate. Samaki wanapigwa mabomu na wavuvi, wanaisha, mifugo the country is starving kwa kukosa vitoweo, kuna vita vya mifugo Tarime huko vinaendelea. Aende aka focus huko kutafuta solution, sio kwenda kuhoji watu BRELA.
Waziri wa Uvuvi utaendaje kukagua wahifadhi mafaili BRELA?
kamuulize bosi wako masha kwa nini hivyo vita haviishi
polisi wanafanya nini na watu ambao magufuli amewakamata so far yeye amehakikisha wanachukuliwa hatua
its sad! inapunguza sana ufanisi, ukienda tu faili lako linachukua 2 hours kutafutwa, au unaambiwa utafute mwenyewe.wanapata pesa za kutosha walitakiwa wafanye computerazation .......tutafika tu mzee
Waziri mwenye muda wa kuzunguka BRELA na TRA kusajili mradi wake wa guest house hawezi kuwa ``by far most hardworking minister. `` Mtu mchapa kazi muadilifu mwenye majukumu mazito angesubiri amalize uwaziri ndio aanze ku run guest house.
Magufuli ni waziri, ni mbunge, ana mishahara kibao, I'm sure hakosi kwenye one of them sekretarieti za kamati kuu, anakula maposho ya mikutano kushoto na kulia.
Na bado una run ki guest house Biharamulo, cha nini? Huyo ndio ``the most hardworking``?
Uwoga wa kujitokeza kwa hilo unatokana na ni nn?Sasa Magufuli nae kawa mkubwa sasa, kama kweli anauchungu na nchi yetu anaogopa nini upresidenti! Ajikaze tuu, aanze mchakato na mikakati ya nguvu ndani na nje ya chama mapema (lakini si kama alivyofanya Kikwete kuhonga watu). Tunaweza kupata kiongozi angalau wa maanamaana kiasi.