Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,142
- 26,132
Kwa kinywa chake,Rais amewaita waliofoji vyeti wezi!Akasema ni wezi kama wezi wengine!Akasema wajiondoe wenyewe kwenye nafasi zao na atakayebaki afikishwe mahakamani na kufunguliwa mashitaka ya kufoji vyeti!Kufoji vyeti ni kosa la jinai,sasa Rais amewasamehe watenda jinai hawa bila kuwafikisha mahakamani!Hii imenikumbusha JK alivyowasamehe waliochota mpunga EPA,aliawaambia warudishe tu kisha watakuwa wamesamehewa!
Swali of interest:Je,kwanini amewasamehe?Au kawasamehe 10,000 kumuokoa mmoja na kesi ya kufoji vyeti??The guy is not a forgiving type,je why hiki kasamehe wezi kirahisi rahisi?Whats the motive behind?