Magufuli apenya ngome ya UKAWA

Kupenya na kuteka ni vitu viwili tofauti.
Hilo nalo hulielewi jingalao?
 
Last edited by a moderator:
Hivi kumbe Bagamoyo ni ngome ys UKAWA?

Viongozi wa CCM wanamdanganya sana mgombea wao... Hiyo Ngome ya Ukawa sijui ni ipi labda?... Na kama Bagamoyo ni ngome ya Ukawa basi kwenye ile list yangu naongeza na pwani.
 
hapa lowassa tu ndio raisi wetu.
viva ukawa
 
Magufuli ni habari nyingine kampeni anaijua na sera anazo
 
Viongozi wa CCM wanamdanganya sana mgombea wao... Hiyo Ngome ya Ukawa sijui ni ipi labda?... Na kama Bagamoyo ni ngome ya Ukawa basi kwenye ile list yangu naongeza na pwani.

Kasome hilo gazeti acha kulialia..
.Hivi pacha wako Mmaiwa ameishiwa pumzi?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…