Mnakumbushwa tu, magufuli ameshaapishwa mwendo ni uleule, umeme utakatwa saa kumi na moja asubui kurudi saa saba usiku:what: na ninavyochangia hapa tayari archuga wameshauchukua:what:
Ha ha ha ha dah you have made my day
Nmecheka lol, kuliko kuyapaki bora yaingie shambani, af samia si aliahidi kilimo cha umwagiliaji wa ubuyu....yapelekwe dodoma