Acheni longo longo ukiona Tanesco wamekata Umeme ujuwe wazi kuna tatizo mahali kwaiyo huwezi acha kulishugulikia. Jiulize unamda gani haujakatika toka kipindi Umeme unasumbua sasa Leo umekatika kidogo tu lawama ebu watanzania tusipende kulaumu vitu bila kufahamu chanzo ni nini tuwe watu wakujiuliza. Hivi Tanesco wao wanapenda kusema vibaya kaila wakati mpaka wakate Umeme siku kama hii