Magufuli anaingilia utendaji wa polisi

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,905
4,053
km polisi pamoja Na basata wamedetect kosa raisi kwanini aingilie.

je ni mambo mangapi anaamrisha polisi kuwakamata au kuwaachia watu.

hii ni hatari kubwa kwa taifa.

tunataka katiba mpya kila taasisi iwe huru.

jiulize ni vipi polisi watajiosha?
jiulize ni VIP basata watajiosha?

ni aibu kubwa sana.

piga kelele tupate katiba mpya.
 
Magufuli kwani kaanza leo kuingilia wenzakekatika kazi zao?

Kashaingilia bunge, mahakama, serikali za mitaa,makanisa, polisi etc.

Swali hapa si Magufuli kaingilia utendaji wa polisi,swali ni,wapi ambapohajawahi kuingilia?
 
Hapa watanzania tunapata picha kwamba kuwekwa ndani muda mrefu kwa Mb Lema kulikuwa LAZIMA kuna mkono wake.

Kuwekwa ndani ovyo ovyo kwa Mb Lisu LAZIMA kuna mkono wake pia.

Kwa alilofanya kwa Nay wala sio la kusifiwa.

Huyu bwana anafanya yasiyomuhusu na hafanyi Yanayomhusu.
 
WaTanzania tumezoea kusema sema tu ovyo..vitu vingine muwe mnaacha vinapita,siyo kila kitu ni cha kuongea ongea tu.jambo dogo hili nalo unaleta mada na kutaka kama vile lichukuliwe kwa mapana saaaaana.people bhana.
 
Ameshatimiza ndoto yake Mkuu kumbuka kauli yake ya I wish I KUDU be IGP. Lijualikali bado yuko ndani na kuna wanachama wa CUF kama sikosei kule Lindi nao wako ndani anayehusika na kufungwa kwa hawa anajulikana.

Hapa watanzania tunapata picha kwamba kuwekwa ndani muda mrefu kwa Mb Lema kulikuwa LAZIMA kuna mkono wa wake.

Kuwekwa ndani ovyo ovyo kwa Mb Lisu LAZIMA kuna mkono wake pia.

Kwa alilofanya kwa Nay wala sio la kusifiwa.

Huyu bwana anafanya yasiyomuhusu na hafanyi Yanayomhusu.
 
WaTanzania tumezoea kusema sema tu ovyo..vitu vingine muwe mnaacha vinapita,siyo kila kitu ni cha kuongea ongea tu.jambo dogo hili nalo unaleta mada na kutaka kama vile lichukuliwe kwa mapana saaaaana.people bhana.
mkuu ngoja ck ukamatwe Na mamwela alaf sehem nyeti wanasokomeza vitu vyenye ncha Kali hapo ndio utaelewa utawala WA Sheria manake nn
 
km polisi pamoja Na basata wadetect kosa raisi kwanini aingilie.

je ni mambo mangapi anaamrisha polisi kuwakamata au kuwaachia watu.

hii ni hatari kubwa kwa taifa.

tunataka katiba mpya kila taasisi iwe huru.

jiulize ni vipi polisi watajiosha?
jiulize ni VIP basata watajiosha?

ni aibu kubwa sana.

piga kelele tupate katiba mpya.
Nadhani umepotosha, rais hajaingilia na wale sio yeye aliyeanza kusema kuhusu hiyo adhabu. Sikiliza tena Mwakyembe alivyosema.
 
mkuu ngoja ck ukamatwe Na mamwela alaf sehem nyeti wanasokomeza vitu vyenye ncha Kali hapo ndio utaelewa utawala WA Sheria manake nn
Hakuna asiyejua kua matatizo humpata mtu yoyote..jela na hospital ni mahala pa kufika any time ktk maisha haya.sasa hiyo siyo sababu ya kuunganisha mambo yasiyo na maana kuongea ongea
 
Magufuli kwani kaanza leo kuingilia wenzakekatika kazi zao?

Kashaingilia bunge, mahakama, serikali za mitaa,makanisa, polisi etc.

Swali hapa si Magufuli kaingilia utendaji wa polisi,swali ni,wapi ambapohajawahi kuingilia?
Jeshini
 
Tuwe wakweli.polisi hawajitambui.wangejitambua wasingekuwa wanatumika kisiasa kama maroboti.wao ni majitaa ya chama tawala.!!
 
Back
Top Bottom