Magufuli anafanya maamuzi katika kiwango cha juu kuliko wapinzani wanavyodhani

August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
9,116
4,960
Tatizo linalopelekea kuwapa kichwa wapinzani wa Magufuli, ni kwamba strategy ya Magufuli katika kujibu wapinzani wake ni very high level way of doing things, wakati wapinzani wake wanatumia low level ya uwezo wa watu wengi kupenyeza propaganda zao na hivyo kuonyesha kwamba Magufuli ameshindwa au anaelekea kushindwa au ana unga mkono ubadhirifu au ana double standard.

Na jingine ni kwamba Magufuli haamini katika uhuni wa mitaani, hivyo kuonekana ameshindwa kwenda sambamba na maisha yenye kuweza kufutia maisha ya asilimia kubwa ya watu wasio na uelewa.

Utatuzi wa haya mambo ni kwa watu walio karibu naye kutathmimi hii hali na kuchukua hatua stahiki ili Rais aweze kufanya kazi zake kwa ufanisi zaidi.
 
Kiwango cha juu kipi wakati sukari imemshinda? Lugumi, escrow, ukwapuzi wa nyumba za Serikali, UDA, PRIDE na Lugumi vinamtia hofu kubwa hadi anatamka kwamba anajuta kuchukua form ya kugombea Urais.

naona sasa jpm na waumini wake wamepanic ... hata hao wa buku 7 wanashindwa kabisa kumtetea
 
Mkuu ni ngumu sana kuendesha nchi kwa sera za kukurupuka na udikteta. Tanzania ya 2016 si sawa na ile ya 1970 chama kimoja.

Sio kwamba wameshindwa au wame panick Bali ni Watu wastaarabu na wenyewe uelewa hivyo hawaoni umuhimu wa kutumia nguvu zao kupigana na Watu wenye uelewa mdogo na wahuni ambao kazi Yao kukaa kupiga deal badala ya kufanya kazi ni in short makuwadiiiiiiiii wa nguvu za Watu wengine. Wakati hizo nguvu na wakati wanaweza kuzitumia katika vitu chanya
 
Akili ndogo siku zote haiwezi kushinda akili kubwa. UKAWA inawapeleka puta Bungeni hadi mkaamua kuleta uhuni wa kuzuia Bunge live kwa visingizio visivyo na mashiko.

Tatizo Tanzania hamna wapinzani kuna wachumia tumbo tu.
 
Mkuu ni ngumu sana kuendesha nchi kwa sera za kukurupuka na udikteta. Tanzania ya 2016 si sawa na ile ya 1970 chama kimoja.
Tatizo lako ingawa unajiona ni mtoto wa mjini au ulikuwa Mtu wa kwanza kwanza Kama Dj kuwa mjini lakini tatizo lako/ lenu ni kwamba uliamini the status quo will remain the same , bila kujua the status quo will be determined by your efforts and not your daddy or mummy happened to be.
 
Ndiyo tatizo kubwa la Wasiojitambua kutaka kubadili mjadala husika. Wazazi wangu hawahusiki na lolote kuhusu kinachojadiliwa hapa. Na acha tabia ya kutaka kuonyesha unanifahamu wakati hunijui.

Tatizo lako ingawa unajiona ni mtoto wa mjini au ulikuwa Mtu wa kwanza kwanza Kama Dj kuwa mjini lakini tatizo lako/ lenu ni kwamba uliamini the status quo will remain the same , bila kujua the status quo will be determined by your efforts and not your daddy or mummy happened to be.
 
Tatizo linalopelekea kuwapa kichwa wapinzani wa Magufuli, ni kwamba strategy ya Magufuli katika kujibu wapinzani wake ni very high level way of doing things, wakati wapinzani wake wanatumia low level ya uwezo wa watu wengi kupenyeza propaganda zao na hivyo kuonyesha kwamba Magufuli ameshindwa au anaelekea kushindwa au ana unga mkono ubadhirifu au ana double standard.

Na jingine ni kwamba Magufuli haamini katika uhuni wa mitaani, hivyo kuonekana ameshindwa kwenda sambamba na maisha yenye kuweza kufutia maisha ya asilia kubwa ya watu wasio na uelewa.

Utatuzi wa haya mambo ni kwa watu walio karibu naye ku tathmimi hii hali na kuchukua hatua stahiki ili Rais aweze kufanya kazi zake kwa ufanisi zaidi.
Uamuzi wa kutufanya tuishi maisha ya dhiki?
 
Sio kwamba wameshindwa au wame panick Bali ni Watu wastaarabu na wenyewe uelewa hivyo hawaoni umuhimu wa kutumia nguvu zao kupigana na Watu wenye uelewa mdogo na wahuni ambao kazi Yao kukaa kupiga deal badala ya kufanya kazi ni in short makuwadiiiiiiiii wa nguvu za Watu wengine. Wakati hizo nguvu na wakati wanaweza kuzitumia katika vitu chanya
vitu chanya kama LUGUMI,MV DAR ES SALAAM?
 
Tatizo linalopelekea kuwapa kichwa wapinzani wa Magufuli, ni kwamba strategy ya Magufuli katika kujibu wapinzani wake ni very high level way of doing things, wakati wapinzani wake wanatumia low level ya uwezo wa watu wengi kupenyeza propaganda zao na hivyo kuonyesha kwamba Magufuli ameshindwa au anaelekea kushindwa au ana unga mkono ubadhirifu au ana double standard.

Na jingine ni kwamba Magufuli haamini katika uhuni wa mitaani, hivyo kuonekana ameshindwa kwenda sambamba na maisha yenye kuweza kufutia maisha ya asilia kubwa ya watu wasio na uelewa.

Utatuzi wa haya mambo ni kwa watu walio karibu naye ku tathmimi hii hali na kuchukua hatua stahiki ili Rais aweze kufanya kazi zake kwa ufanisi zaidi.
unaishi gheto Kwa Mwakyembe kula Kwa January kulala Kwa Lugumi nini?
 
naona nchi inazidi kua na vichaa tangu mshkaji atwawishwe hatamu..
sasa hivi kuchinjana miongoni mwa wananchi kumezidi..
wiki mbili zaidi ya watu 12 wameshachinjwa nchini.
bidhaa ndio hazigusiki..
hakuna pesa za kuunda Tume si unajua Kipindi cha Mkapa Tume zilikuwa dili la kujipatia pesa, Hayo mauaji na Lugumi vinatosha kumfanya kitwanga ajiuzulu , lakini kitwanga hata wakichinjana Nchi nzima hawezi kujiuzulu yeye anadai ni Mfalume wa Wizara Hana wa kuthubutu kumgusa .
 
Back
Top Bottom