Magufuli ana cheo gani CCM

Magufuli ana cheo gani CCM

Prince naithy

Member
Joined
Nov 18, 2015
Posts
57
Reaction score
3
Ukiangalia katika chama cha CCM viongoz wake ukiangalia Katibu KINANA mwenyekiti KIKWETE JE magufuli atafanyakaz kwa uhuru kwasababu akienda kinyume na Chama atauliza ATAFANYA KAZI KWA UHURU!!!
 
Atakuwa M.kiti wa chama baadae kwasasa ni mwanachama wa kawaida kama ilivyo kwa Mh. Lowasa
 
Kwani mpaka sasa kuna kilicho mzuia kufanya kazi?Mambo yanaenda vuzuri.
 
jitahidi kuboresha matumizi ya lugha. kuna maneno unaandika yasiyo ya kiswahili
 
awez akafanyakaz vzur bila kuwa na kiti akienda agenst na chama ata ulizwa na wenye chama
 
Ukiangalia katika chama cha CCM viongoz wake ukiangalia Katibu KINANA mwenyekiti KIKWETE JE magufuli atafanyakaz kwa uhuru kwasababu akienda kinyume na Chama atauliza ATAFANYA KAZI KWA UHURU!!!

Yaani Magufuli anavotafutwa saiz dah...hata kwenye vitu visivyo na maana ili mradi aongelewe...
 
kama hana uongozi ndani ya chama it means they got him by the balls and he must be conditionally driven by the cookie monster
 
Ukiangalia katika chama cha CCM viongoz wake ukiangalia Katibu KINANA mwenyekiti KIKWETE JE magufuli atafanyakaz kwa uhuru kwasababu akienda kinyume na Chama atauliza ATAFANYA KAZI KWA UHURU!!!

Kwani Lowassa ana cheo gani ktk chama cha demokrasia na maendeleo, m/kiti mbowe, katibu alisepa.
 
Kwa nafasi yake ya Urais moja kwa moja anakuwa mjumbe wa kamati kuu (CC), sawa na Waziri mkuu wake.
 
Back
Top Bottom