mm1
JF-Expert Member
- Aug 17, 2014
- 569
- 170
Halmashauri inayoongoza kwa ubadhilifu wa fedha za walipa kodi nchini TZ ni KISHAPU YA MKOA WA SHINYANGA.Mbunge,madiwani na watendaji wa halimashauri hiyo wote ni wapiga dili,naskia mbunge huyo kakimbilia MUSCAT OMAN baada ya kampuni lake linalojihusisha na shughuli za mgodini kukumbwa na kashifa ya ukwepaji kodi tangu kipindi cha awamu ya kwanza ya jk.Cha ajabu mwenyekiti wa council aliyetuhumiwa kwa ufisadi wa mabilion kapigiwa chapuo na mbunge huyo kurudi tena kwenye wadhifa huo.#...wataisoma namba.