Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,627
- 30,607
Hapa sijajua dhamira yake ni kupata Air time kwenye vyombo vya habari,ngoja nisubiri siku ya Idd tikimuona anakwenda kuswali.kwa kweli pongezi kwake kwa ubunifu!
anacho kizungumza na anacho kitenda kila siku kinabadilika kutokana kutokana na mazingira ili kupata attention.alicho kisema kwenye sherehe za kuzaliwa CCM kule singida kuhusu vyama vya upinzani na alicho kisema jana kuwa watanzania tusibaguane kwa vyama-sasa kwa kauli zile ni nani aliyeanza kubagua wengine kwa vyama ? ni kama mchezo wa kuigiza.kweli wahenga walisema mjenga nchi ndio mbomoa nchi.
Rai yangu,Magufuli ametushika akili hatuwezi kuhoji wala kuuliza,anaweza tenda chochote kibaya na tutakaa kimya.