Jana wakati Bw. pombe anasaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi Dar, alimuwashia moto Bw. Mkulo kuwa wizara yake inachelewesha malipo ya wakandarasi na kufanya miradi ichelewe kumalizika. alisema ""
"Na hili nalisema hapa kutokana na mwakilishi wa Ofisi ya Waziri wa Fedha kuwa mahali hapa," alisema Magufuli na kumgeukia ofisa huyo wa Wizara ya Fedha na kumwambia:
"Mwambie Waziri Mkulo awalipe fedha makandarasi wanaodai, salamu hizo mfikishie huko aliko, makandarasi wanaidai serikali," alisema.
Bila kutaja kiasi ambacho serikali inadaiwa, Magufuli alimtaka Waziri Mkulo kulichukua jambo hilo kwa uzito wa kipekee na kuanza kulipa madeni ya makandarasi kuanzia sasa, ili Wizara ya Ujenzi iweze kuwabana vizuri pale wanaposhindwa kukamilisha ujenzi kwa wakati.''
source: TANZANIA DAIMA YA LEO
Ina maana hawa jamaa hata kupigiana simu hawawezi mpaka wavuane magamba kwenye TV??? Kazi ni kwake baba riz.
Mawaziri wengi wa Kikwete wanajitahidi kuchafuana kwenye media, hasa wale wenye nia ya kugombea urais 2015. Na Pombe ni mmoja wa hao wanaojikakamua kusafisha njia kwa kuwavua wenzake nguo!
Jana wakati Bw. pombe anasaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi Dar, alimuwashia moto Bw. Mkulo kuwa wizara yake inachelewesha malipo ya wakandarasi na kufanya miradi ichelewe kumalizika. alisema ""
Na hili nalisema hapa kutokana na mwakilishi wa Ofisi ya Waziri wa Fedha kuwa mahali hapa, alisema Magufuli na kumgeukia ofisa huyo wa Wizara ya Fedha na kumwambia:
Mwambie Waziri Mkulo awalipe fedha makandarasi wanaodai, salamu hizo mfikishie huko aliko, makandarasi wanaidai serikali, alisema.
Bila kutaja kiasi ambacho serikali inadaiwa, Magufuli alimtaka Waziri Mkulo kulichukua jambo hilo kwa uzito wa kipekee na kuanza kulipa madeni ya makandarasi kuanzia sasa, ili Wizara ya Ujenzi iweze kuwabana vizuri pale wanaposhindwa kukamilisha ujenzi kwa wakati.''
source: TANZANIA DAIMA YA LEO
Ina maana hawa jamaa hata kupigiana simu hawawezi mpaka wavuane magamba kwenye TV??? Kazi ni kwake baba riz.
Wengine watasema amefanya vizuri kwa kuwa muwazi na labda hili litasaidia kufanya mambo yaende kasi.
Wengine watasema this is undiplomatic, haheshimu collective responsibility, na alikuwa na njia nyingi tu za kuongea na Mkullo moja kwa moja, anatengeneza tension inayoweza kuleta confrontation.
Akili ya Magufuli inafanana na ya Lyatonga Mrema.Ina maana hawa jamaa hata kupigiana simu hawawezi mpaka wavuane magamba kwenye TV??? Kazi ni kwake baba riz.
ukweri = ukweli
we dada utahangaika sana na mimi juu ya hizi ri za kipogoro,ndio zimenifikisha huku nakula kodi za wazungu wezi wa mali ghafi zetu,ukweri = ukweli
watanzania bana
hivi umeyasikia jana UGANDA?
Raisi msevi anamweleza waziri wake mbele ya vyombo vya habari kuwa alitakiwa kuwajibika kwa kutojua baadhi ya pesa zilikokwenda,lakini wakati huohuo waziri anasema mbele ya vyombo vya habari kuwa tatizo ni Raisi ndio aliyetoa madaraka yote juu ya mfanyabiashara aliyesababisha upotevu wa pesa ,
leo maguri kasema anaonekana anatafuta umaarufu wa kisiasa,sasa mlitaka afanyaje kama njia nyingine zimeshindikana?
Magufuli in action a typical populist.
what do you mean by "populist"??? this terminology is highly abused in the west and now I see even in Tanzania. Have you ever known any, I underline ANY,politician who is not POPULIST??? Let's forget about demagogy and cheap rhetoric thence call a spade a.......SPADE!!!
all politicians are populist(S)...period!!!!!