Waziri kivuli
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 2,987
- 3,450
Yaani hata Mimi nimeshindwa kumuelewa!Huyu jamaahaelewi anaenda au anarudi.
Mkapa alishasema wastaafu wasisumbuliwe, mpaka kwenye mambo makubwa.
Yeye mwenyewe anawatekenya, anawaomba ushauri, halafu wakicheka anawasema vibaya.
Haeleweki kama anataka kuachiwa nchi aiendeshe anavyotaka,au anataka ushauri wa wstaafu!
Atatuma malaikaJiwe limempata hilo nafikiri huko alipo ms......
ebo, kwani humfahamu Obama na Trump! sasa wewe unataka amlenge nani? ok, ...alikulenga ww basi, umerizika?Hiyo nimeisikia akiwa anazungumza na viongozi wastaafu!Anasema hata huko duniani wanamuacha Rais anaongoza anavyotaka,kwamba atakuja kuhukumiwa baadae!
Akatolea mfano Obama,kwamba yuko kimya kamuacha Trump aongoze kivyake!
Kauli hizi zimenishtua sana,kwamba JPM anataka aachiwe nchi aongoze kivyake,daaaah kwani nchi ni Mali ya familia?
Na je,alilengwa nani kwa mfano ule wa Obama?Au ni yule aliyeingia mitini mwaliko wa wazee ikulu?
Sio kosa lako,uko kwenye lile kundi walilolitaja Twaweza!ebo, kwani humfahamu Obama na Trump! sasa wewe unataka amlenge nani? ok, ...alikulenga ww basi, umerizika?
kundi langu nalijuwa mimi mwenyewe sihitaji kuambiwa na mtu, kawaambie hao wasiojijua kundi lao!Huhitaji akili ya ziada kujua alichokua anaongelea mh. rais wetu! Usimuwekee maneno yako kwa kujidai unajua saana...kumbe upuuzi tu!Sio kosa lako,uko kwenye lile kundi walilolitaja Twaweza!
Haya yanaitwa mahaba Niue!kundi langu nalijuwa mimi mwenyewe sihitaji kuambiwa na mtu, kawaambie hao wasiojijua kundi lao!Huhitaji akili ya ziada kujua alichokua anaongelea mh. rais wetu! Usimuwekee maneno yako kwa kujidai unajua saana...kumbe upuuzi tu!
nimecheka mpaka basi! Hapana, wewe angalia mambo in 'different perspective' utanielewa! Half full or half empty!Haya yanaitwa mahaba Niue!
Tatizo hapa ni kuwa mkuu wa kaya haoni tofauti ya demokrasia inavyoendeshwa huko Marekani na kwetu hapa. Tusimlaumu, pengine huko nyuma hakuona umuhimu wa kujua tofauti. Tujilaumu waTanzania tuliomuingiza ikulu kwa kishindo.Hiyo nimeisikia akiwa anazungumza na viongozi wastaafu!Anasema hata huko duniani wanamuacha Rais anaongoza anavyotaka,kwamba atakuja kuhukumiwa baadae!
Akatolea mfano Obama,kwamba yuko kimya kamuacha Trump aongoze kivyake!
Kauli hizi zimenishtua sana,kwamba JPM anataka aachiwe nchi aongoze kivyake,daaaah kwani nchi ni Mali ya familia?
Na je,alilengwa nani kwa mfano ule wa Obama?Au ni yule aliyeingia mitini mwaliko wa wazee ikulu?
Wewe mjanja kwelikweli ila umerizika? Utakuwa mura.ebo, kwani humfahamu Obama na Trump! sasa wewe unataka amlenge nani? ok, ...alikulenga ww basi, umerizika?