MTV MBONGO
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,261
- 1,222
Chama cha mapinduzi(CCM) kinaandaa mchakato wa kumkabidhi uenyekiti Magufuli. Kwa kasi yake ya utumbuaji majipu napata wasiwasi mkubwa kwa Ukawa kujizolea wanachama wengi zaidi. maana watumishi wa umma zaidi ya 150 wamelambwa 'ban' kama wengine wanavyozipata humu jukwaani.
Nadhani majipu yakikamuliwa, kwa hasira yatahama chama. maana akiwa sio mwenyekiti na karuhusu wabunge wa chama chake kupandishwa kizimbani kwa rushwa. je, akiwa mwenyekiti si itakuwa balaa.
Ngoja apewe ila UKAWA nadhani waandae kadi za kutosha za wanachama wapya.