We unategemea kuteuliwa?We ni mkuu wa wilaya?
Shida ya kusema ukweli?Unashida kweli wewe?
Watu wengine bhana. Mtoa mada anajaribu kuangalia namna ya kupunguza ufujaji wa pesa yetu ili tufanye mambo ya kimaendeleo wengine mnamshambulia.
Kuna haja gani mtu kulipwa kiinua kifua mil.80 halafu baada ya miaka 5 hata kama ataendelea au atateuliwa kuwa mkuu wa mkoa?
Tusijipofushe ufahamu wetu. Magu lazima aendelee kuonyesha tofauti na aliyemtangulia hata ktk hili.
Angekuwa alishafanya angesifiwa sana tu lkn kwa sababu anakumbushwa, mkumbushaji anashambuliwa.
Poor Tanzania.
Waache ukitaka kujua ni wanafiki ni pale ikitokea rais akisema hateui wakuu wa wilaya watakuwa wa kwanza kutumwagia povu humu eti wanapongeza uamzi wa kubana matumizi!Watu wengine bhana. Mtoa mada anajaribu kuangalia namna ya kupunguza ufujaji wa pesa yetu ili tufanye mambo ya kimaendeleo wengine mnamshambulia.
Kuna haja gani mtu kulipwa kiinua kifua mil.80 halafu baada ya miaka 5 hata kama ataendelea au atateuliwa kuwa mkuu wa mkoa?
Tusijipofushe ufahamu wetu. Magu lazima aendelee kuonyesha tofauti na aliyemtangulia hata ktk hili.
Angekuwa alishafanya angesifiwa sana tu lkn kwa sababu anakumbushwa, mkumbushaji anashambuliwa.
Poor Tanzania.
Leta uthibitisho kuwa hawalipwi hicho kiasi.~~>Tuletee Uthibitisho wa Hayo Malipo ya 80M.....
~~>Ikiwa hayo malipo yapo Kisheria nani wa kuyabadilisha¿¿¿
Leta uthibitisho kuwa hawalipwi hicho kiasi.
Hizi ndo akiri ya watanzania~~~>Watanzania zaidi ya 45M tukimuelewa Magufuli hata wewe usipomuelewa kuna tatizo gani????
Ndio mkuu, hasa wewe na mimi tunaojibizana utaahira na ubwege.~~~> JF imevamiwa na MATAHIRA na MABWEGE.
Teh teh teh hakuna waitoe wapmmmh ama kweli hivi ni nani mwenye job descriprion ya mkuu wa wilaya atupie hapa !!