Magufuli aikonga sekta ya afya


Labda atoke ccm, maana ma ccm kazi yao kubwa ni kutumia raslimali za nchi kwa faida yao na familia zao. Sasa hivi yanamsaidia kwenye compain kulinda maslahi yao, ndiyo kubwa zima haliishi kusema sitawaangusha, unajua maana yake? Ccm ni ileile na magufuli ni ccm, hakuna jipya hapo.
 

Umeongea kimahaba sana
 
Waliahidi watoto bure nendq muhimbili ct scan.eeg.ultrasound watoto wote wanalipa.hajuwi asemalo hataweza kusimamia hili.
 

Kuanzia 2014 Zambia imetangazwa kuwa nchi a uchumi wa kati; siyo taifa maskini tena kama Tanzania. Mabadiliko ni kuanza; wazambia walianza mwaka 1991 wametoka miaka 23 baadaye. Tanzania bado tujaanza safari, bado tunaangaika na CCM yao.

Nchi haiongozwi na mtu mmoja bali mfumo wa utawala. Tofauti na utawala wa sasa, UKAWA wame-design muundo na mfumo mpya wa kuendesha serikali. Usimwangalie na kumtathmini Lowasa wa UKAWA katika muundo na mfumo wa utwala wa sasa.

Lowasa na wengine waliohamia UKAWA wamesema wazi kuwa chini ya mufumo wa utawala wa sasa, wasingepatafursa ya kuiwezesha Tanzania kupata mabadiliko. Waliamua kujiunga UKAWA ili wapate fursa ya ku-engineer mabadiliko nchini Tanzania

Si ungejiunga nao hao unaowaita wapinzania wa kweli, badala ya kushabikia watawala wa sasa? Mantiki iko wapi
 

nahisi unahitaji kuongezewa damu
 
Huu uzi uunganishwe na wa Dr.Mo-mods fanyeni kazi
 
Mavi yake..ahadi ngapi kama hizo..mbona hazikutekelezwa....50yrs+..nyimbo zilezile..tumechoka kudanganywa..kwanza sisi ni wapumbavu na malofa...safari hii mtauona mziki..hamtupati n'goooo..lowassa nanatosha!
Yni ni vijana tumekua bogus kbsaa...naona Imekua kosa nchi yetu kutimiza miaka hamsini ya muungano.kila hoja miaka hamsini .hvi miaka hamsini Katikati maendeleo mnaiona Mingi sana eh.hvi mnajua china imetumia miaka mingapi kufika hapa ilipo.kumbuka nchi yetu chin ya baba wa taifa tuliwekewa vikwazo vingi sababu tu ya kuutukuza ujamaa.tulicollapse kbsa.hayo yote namaanisha kiuchumi tuna miaka 30 tu tokea tuanze mageuzi.changamoto zipo watu wanaongezeka kila siku vijiji vinakua miji serikali imejitahidi kuendana na kasi hii.ttzo ni watu sio chama..waadilifu wapo ila wanaangushwa na Mbwa wachache..hio ni sawasawa na kukemea Dini nzima kisa watumishi wachache ni wazinzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…