Magu anafikiri nini na sijaelewa amekata mfereji wa ajira tumekaa kimya ameharubu sekta ya afya Muhimbili watu Wanakufa maiti wanazikimbia madeni.
hakuna Huduma bure wajawazito
Wala mtoto ni balaa .
Tuje katika korosho mtihani mtupu
Kinachokera zaidi ni hili swala la Afya mtu amefariki maiti haitolewi kisa mgonjwa anadaiwa eti milioni kumi au au mbili mtu kujifungua njia ya kawaida Anadaiwa milioni ukiwa na uvimbe unakufa nao kweli huu ubinadamu wapi ilipo ile slogan ya rais wa wanyonge serious anaweza akafanya mabadiliko ila amefikia pabaya mno
Wamakonde wanaipenda ccm ila sio huu utawala serious sijajua tatizo n nn kama watu wangewalipa wote wote wenye tani Tano kushuka chini alafu hao wenye tani alfu kumi na tano wangeangalia namna ya kuwadhulumu tunajua kuna mafisadi wanaingiza huko kwa niaba ya kuwadhulumu wakulima ila sio this much watu wanakosa hadi uniform za watoto wao kweli wanyonge watakuelewa turudi katika mada Magu unatupeleka wapi madaraja ndege na sgr haitusaidii kama watu hawana kitu