Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
KUNA magonjwa mengi yanayosababisha mtu kukojoa udenda (usaha), uume kuuma au kuwasha wakati wa kukojoa.
Magonjwa yanayosababisha hali hiyo kwa sana ni pamoja na klamidia (chlamydia), kisonono (gonorrhea), trichomoniasis na magonjwa mengine yanayoathiri njia ya mkojo (nongonococcal urethritis) ambayo FikraPevu inayachambua.
Klamidia (Chlamydia)
Klamidia (Chlamydia) ni moja ya magonjwa ya zinaa. Ugonjwa huu unasababishwa ...
Kwa habari zaidi, soma hapa => Magonjwa yanayosababisha kutoa usaha, kuumwa na kuwashwa sehemu za siri! | Fikra Pevu