Magonjwa ya ngozi

Paulsen Francis

New Member
Jun 24, 2012
2
1
Naomba mnisaidie jamani, nina ugonjwa wa ngozi mwaka na nusu, kila nikienda hospital wananipa dawa ambazo nikimaliza kutumia baada ya mda kidogo ugonjwa unarudi tena na tena, sijui nifanye nini!
 
Nitafute kwa namba 0715720276,nipo kcmc naweza kukusaidia kadri nitakavyoweza!
 
Back
Top Bottom