Magonjwa hatari na rahisi kuambukizana!

Magonjwa hatari na rahisi kuambukizana!

Sontojo

Member
Joined
Jun 18, 2013
Posts
63
Reaction score
20
Mi nimejifunza kuwa Madaktari wa Tanzania hawaongei chochote kuhusu magonjwa kama vile;
1. Herpes simplex virus
2. Human papillomavirus infection (hpv)

Magonjwa haya kwa kiasi kikubwa sana yamewaadhiri Watanzania wengi na hasa watoto kupitia kwa wazazi na wazazi tokea kwa watoto mfano watoto kuambukizana mashuleni kama vile kushirikiana vitu kama kugawiana peremende nk kisha wakifika nyumbani uwaambukiza watoto wenzao na wazazi, ndugu, jamaa wanaoishi nao kwa karibu.

Je kwanini msianze program maalum ya kuelimisha watu waziwazi maana hili janga ni kubwa sana na huu uhonjwa ni rahisi mno kusambaa au kuambukizana pengine kuliko magonjwa yote? Ebu fualitia uone watu wana hali mbaya na sababu ya kutojua wanafikiri wamelogwa!

Watu wanateketea sana sana kwa kukosa maarifa toka kwa wataalamu. Si kila mgonjwa hapa anapata magonjwa haya kupitia ngono!
 
Weka dalili mkuu tutambue haraka

1. Mafua ya mara kwa mara
2. Kuumwa kichwa
3. Kubadilika rangi ya ngozi
4. Vipele vya ajabu ajabu kifuali, sehemu za siri, mgongoni nk
5. Kuwaka moto sehemu za siri na maumivu makali yasiyoeleweka
6. Kupata vitu kama vidonda ambavyo vipele vidogo vidogo vilivyojikusanya pamoja na baadae ubadilika kama mtu aliungua kwa maji ya moto. Hupona vyenyewe
7. Kutokwa na vidonda vidogo mdomoni kwa ndani ambavyo uuma sana
8. Nywele kulegea na kupoteza ubora wake
9. Kutokwa na uvimbe kwenye kuta za kooni na hutoa vitu kama usaa ukichunguza kwa umakini
10. Kubadilika kwa harufu ya sehemu za siri na hata kunuka sana
11. Kupata UTI mara kwa mara
12. Kubanwa kifua na/ au shingo kwa muda na kuachia yenyewe baada ya muda fulani
13. Kuwashwa mwili hasa macho na usipojua unaweza kununua miwani au kubadili miwani kila siku
14. Tumbo kujaa gas au kushindwa kusaga baadhi ya vyakula kwa haraka mfano wali au chapati au chocolate
15. Miguu na mikono kubadilika ulaini na kuwa ngumu sana utafikiri una miiba mikononi na miguuni

Zipo nyingi sana ukikaa na mgonjwa wako vizuri na kirafiki atakueleza mambo 1,000 kidogo.
 
a0de524f942f3ce560392d68b9b9f56f.jpg
6b0ff152e60b8ba78ac7737c6162766a.jpg
e520ce1c953a45654c629d2f9228d61e.jpg
d75ea8afeb123bced3ebd399436d927e.jpg
 
Mi nimejifunza kuwa Madaktari wa Tanzania hawaongei chochote kuhusu magonjwa kama vile;
1. Herpes simplex virus
2. Human papillomavirus infection (hpv)

Magonjwa haya kwa kiasi kikubwa sana yamewaadhiri Watanzania wengi na hasa watoto kupitia kwa wazazi na wazazi tokea kwa watoto mfano watoto kuambukizana mashuleni kama vile kushirikiana vitu kama kugawiana peremende nk kisha wakifika nyumbani uwaambukiza watoto wenzao na wazazi, ndugu, jamaa wanaoishi nao kwa karibu.

Je kwanini msianze program maalum ya kuelimisha watu waziwazi maana hili janga ni kubwa sana na huu uhonjwa ni rahisi mno kusambaa au kuambukizana pengine kuliko magonjwa yote? Ebu fualitia uone watu wana hali mbaya na sababu ya kutojua wanafikiri wamelogwa!

Watu wanateketea sana sana kwa kukosa maarifa toka kwa wataalamu. Si kila mgonjwa hapa anapata magonjwa haya kupitia ngono!
Adhiri

Athiri
 
Back
Top Bottom