Kama uliwahi kucheza mziki kwa kuigiza wanavocheza kwenye TV halafu ukaenda kucheza mbele ya kioo, njoo tufanye mazoezi ya huu wimbo. Halafu jumamosi tukutane beach party kuoneshana maufundi.
Wale wapenzi wa bolingo karibuni tulisakate kabumbuu likizo inaendelea.
Uliposema 'Magma moto' mawazo yangu yakaenda mabaali sana. Najua magma ni ujiuji wa moto unaorushwa na volcano sasa nikajiuliza Kasie anausifia huo ujiuji wa wa moto unaorushwa kwani imekuaje tena? kwani haujui? Kumbe ulikua na maana magoma na sio magma! Wakubadilishie heading basi