kwa asiyeamin DARK MAGIC na physic power tafadhali acha kudharau tunaoamin hilo,sitaweka kila kitu hapa maana sifanyi biashara,natoa ujuzi ukafanye mwenyewe hukohuko uliko,u wil c hanges.(sio mambo ya kafara,HAPANA)
Jf bwana kuna vijimambo kibao duh?. Kwa hiyo tusifanye kazi?. Tuamini magic money tu.hivi kila mtu akifanya hivyo mambo yataenda kweli?.hii haina tofauti na DECI.