henry normal Senior Member Joined Jun 13, 2015 Posts 120 Reaction score 31 Sep 29, 2015 #1 N vp Jinsi ya kuomba nafas za askal magereza
Neils bohr Member Joined Aug 27, 2015 Posts 94 Reaction score 92 Sep 29, 2015 #2 Siku hizi ni mpaka uende ukajitolee kwanza jkt kk
mamylove JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 1,091 Reaction score 1,783 Sep 29, 2015 #3 Si lazima jkt nafasi zikitoka unaweza apply. Maelekezo ya jinsi ya Ku apply utayapata kwenye matangazo yanayohusiana na ajira hiyo
Si lazima jkt nafasi zikitoka unaweza apply. Maelekezo ya jinsi ya Ku apply utayapata kwenye matangazo yanayohusiana na ajira hiyo
abdulh iddy Senior Member Joined May 28, 2015 Posts 159 Reaction score 6 Sep 30, 2015 #4 vp broo nafasi hzo zimetoka au
henry normal Senior Member Joined Jun 13, 2015 Posts 120 Reaction score 31 Sep 30, 2015 Thread starter #5 Nlisikia zmetoka tayar
ze-dudu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 18,927 Reaction score 25,125 Sep 30, 2015 #6 Swali lake bado halijajibiwa lakini
abdulh iddy Senior Member Joined May 28, 2015 Posts 159 Reaction score 6 Sep 30, 2015 #7 zimetoka website gan wakuu tujuzane wakuu
NileSat JF-Expert Member Joined Mar 31, 2015 Posts 340 Reaction score 182 Sep 30, 2015 #8 Bado na kamishina minja ametoa tangazo la kukanusha uvumi unaoenea mitandaoni kuwa jeshi la magereza limetoa nafasi hivo sio kweli
Bado na kamishina minja ametoa tangazo la kukanusha uvumi unaoenea mitandaoni kuwa jeshi la magereza limetoa nafasi hivo sio kweli